Awamu mpya ya wajumbe wa kudumu wa Ofisi ya Kisiasa ya Kamati Kuu ya CPC kukutana na waandishi wa habari
2022-10-15 19:13:23| CRI

Msemaji wa Mkutano Mkuu wa 20 wa wajumbe wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Sun Yeli amesema, awamu mpya ya wajumbe wa kudumu wa Ofisi ya Kisiasa ya Kamati Kuu ya CPC itakutana na waandishi wa habari wa ndani na nchi za nje.