Kama mtu anamshuku jirani yake kwa kuiba shoka lake, tabia zote za jirani ambaye hana hatia huonekana za kutiliwa shaka
2022-10-18 14:27:41| CRI

Huu ni msemo wa kale wa China ambao unatahadharisha watu kutokuwa na mawazo ya kushukiana au kudhaniana vibaya bila ya kuwa na ushahidi au msingi wowote.