Mkutano wa Tatu wa Tume ya wenyeviti (presidium) ya Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC wafanyika
2022-10-21 15:48:24| cri

Mkutano wa Tatu wa Tume ya wenyeviti (presidium) ya Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika ukiendeshwa na Xi Jinping, ambapo umepitisha orodha ya awali ya majina ya wateuliwa wa wajumbe na wajumbe mbadala wa Kamati Kuu ya 20 ya Chama, na wateuliwa wa Kamati ya Ukaguzi wa Nidhamu ya Kamati Kuu, na kuwasilisha kwenye ujumbe mbalimbali wa mkutano. Uchaguzi rasmi utafanyika tarehe 22 asubuhi.