CPC yachagua kamati kuu mpya na kamati kuu ya ukaguzi wa nidhamu
2022-10-22 11:42:45| CRI

Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC umechagua Kamati Kuu mpya na Kamati Kuu ya Ukaguzi wa Nidhamu mpya kabla ya kufungwa leo Jumamosi.