Xi Jinping aendesha kikao cha ufungaji cha Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China
2022-10-22 11:41:09| CRI

Xi Jinping ameendesha kikao cha ufungaji cha Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China uliofanyika leo Jumamosi kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing.