Xi Jinping na wajumbe wengine wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya CPC wakutana na waandishi wa habari
2022-10-23 14:12:46| CRI


 

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya 20 ya CPC wakiwa ni pamoja na Xi Jinping , Li Qiang, Zhao Leji, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang na Li Xi leo Jumapili hapa Beijing wamekutana na waandishi wa habari.