Nguvu haitoki kwenye misuli ya mikono, bali hutoka kwenye umoja wa moyo
2022-10-24 15:01:44| CRI

Huu ni msemo aliotumia raia Xi Jinping kwenye Mkutano wa Nne wa Hatua za Kujenga Imani na Maingiliano barani Asia mwaka 2014 akisisitiza usalama katika bara la Asia.