Rais wa Tanzania ampongeza Xi Jinping kwa kuchaguliwa tena kuwa Katibu Mkuu wa CPC
2022-10-24 15:52:22| CRI

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pongeza kwa rais Xi Jinping wa China kwa kuchaguliwa tena kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China.