Rais wa Tanzania kufanya ziara nchini China
2022-10-27 15:25:22| CRI

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Hua Chunying amesema, rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China kuanzia tarehe 2 hadi 4 mwezi ujao.