Viongozi wa vyama vya siasa barani Afrika wampongeza Bw. Xi Jinping kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa CPC

2022-11-03 09:52:46| CRI

Karibu tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.Kama ilivyo ada kipindi hiki kinakuletea masuala mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, na kipindi cha leo kitakuwa na ripoti inayohusu viongozi wa vyama vya siasa barani Afrika wampongeza Bw. Xi Jinping kuchaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa CPC, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi na yatamhusu Eric Biegon, mwanahabari wa shirika la KBC nchini Kenya ambaye alipata fursa ya kutembelea China, na kujionea jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyofanya kazi kwa ufanisi.