Dunia tambara bovu
2022-11-04 15:16:05| cri

Katika riwaya hii Sikitu Taabu na dadake Mche wanaachwa wabichi kwenye ulitimana upweke baada ya wazazi wao kwenda njia ya marahaba kukabiliana na dunia. 

Hata hivyo, Chausiku shangazi yao aliyeapa kuwalea anawatendea kila aina ya dhuluma hadi anawahini urathi.