Kujiimarisha mwenyewe kwanza, halafu kujali jamii
2022-11-07 14:50:13| CRI

Huu ni mtazamo aliotoa mwanzilishi wa falsafa ya Confucius, Confucius. Maana yake ni kuwa mtu anatakiwa kuinua maadili yake mwenyewe. Akiwa na kazi nzuri anatakiwa kuwapenda wengine na kulipia jamii ili wote wapate maendeleo na kupiga hatua. Fikra hii imekuwa msingi wa roho na mwongozo wa vitendo wa taifa la China tangu zamani.