Wataalamu wa China na Tanzania: Ziara ya Rais Samia nchini China kuinua uhusiano wa nchi hizi mbili kwenye ngazi mpya
2022-11-10 10:51:07| CRI

Karibu msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

katika kipindi chetu cha leo tutakuwa na ripoti inayohusu ziara aliyofanya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China wiki iliyopita, ambapo wataalamu wa China na Afrika wanasema ziara hiyo imeinua uhusiano wa nchi hizi mbili kwenye ngazi mpya. Pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi kuhusu Wakenya waliopata fursa ya kusoma nchini China wanavyosifu ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.