Rais wa Mongolia kufanya ziara China
2022-11-23 08:11:18| cri

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying amesema, rais Ukhnaa Khurelsukh wa Mongolia atafanya ziara ya kiserikali nchini China kuanzia tarehe 27 hadi 28, Novemba.