Mkuu wa CMG azungumza na mkuu wa Shirika la habari la AP kwa njia ya video
2022-11-29 20:34:15| cri

Mkuu wa Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG Bw. Shen Haixiong amefanya mazungumzo na mkurugenzi mtendaji mkuu wa Shirika la habari la APla Marekani Bi Daisy Veerasingham kwa njia ya video. Pande mbili zimejadili mada mbalimbali zikiwemo, wajibu wa vyombo vya habari, ushirikiano wa utangazaji na maendeleo ya muungano wa vyombo vya habari.