Moduli ya kurudi duniani ya Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-14 cha China yatua salama
2022-12-04 20:35:11| cri

Moduli ya kurudi duniani ya Chombo cha anga ya juu cha Shenzhou-14 cha China imetua salama leo usiku mkoani Mongolia ya Ndani.