Xi kuhudhuria mikutano kati ya China na nchi za Kiarabu
2022-12-07 09:30:49| CRI

Kutokana na mwaliko wa mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdu Aziz Al Saud, rais Xi Jinping wa China tarehe 7 hadi 10 Desemba atafanya ziara nchini Saudi Arabia, na kuhudhuria Mkutano wa kilele wa China na nchi za Kiarabu na Mkutano wa kilele wa kamati ya ushirikiano kati ya China na nchi za Kiarabu za ghuba.