Idara ya takwimu ya China imetoa ripoti ya mavuno ya nafaka ya mwaka 2022
2022-12-13 08:56:43| CRI

Idara ya takwimu ya China imetoa ripoti ya mavuno ya nafaka ya mwaka 2022. Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanyika katika miji na mikoa 31 nchini China, mwaka 2022, ujumla wa mavuno ya nafaka katika majira ya joto na majira ya mpukutiko umefikia tani milioni 686.55, ambao umeongezeka kwa asilimia 0.5 kuliko mwaka jana.