Kampuni ya Startimes ya China yawekeza katika utengenezaji wa tamthilia ya kienyeji nchini Kenya
2022-12-14 11:05:37| CRI

Hujambo msikilizaji na karibu tena katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo, kando na habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti itakayozungumzia Kampuni ya Startimes ya China yawekeza katika utengenezaji wa tamthilia ya kienyeji nchini Kenya, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi yanayomhusu Ramadhan Suleiman ambaye ameshiriki katika kuhariri kitabu cha Rais wa China Xi Jinping.