Zaidi ya asilimia 90 ya kampuni za kigeni zina imani na uchumi wa China mwaka 2023
2022-12-28 08:44:35| CRI


 

Msemaji wa Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China Yang Fan jana alisema, shirikisho hilo hivi karibuni lilizihoji kampuni 160 za kigeni nchini China. Matokeo yalionesha kuwa, asilimia 91 ya kampuni hizo zilizohojiwa zinaunga mkono China kuboresha sera ya kudhibiti na kukinga janga, na asilimima 99.4 zina imani zaidi na mustakabali wa maendeleo ya uchumi wa China katika mwaka 2023.