Kutenda vyema ni kama kupanda mlima, kutenda vibaya ni kama kuteleza
2022-01-04 15:45:37|
CRI
Huu ni msemo unaotukumbusha kwamba kuwa mtu mwema ni vigumu lakini ni rahisi sana kuwa mtu mbaya. Waswahili wana msemo “Kupanda mchongoma, kushuka ndio ngoma”; ambao unasisitiza kutojiingiza kwenye mabaya.