Hakuna dhahabu safi kabisa, na hakuna mtu aliye sawia
2022-01-10 11:01:29| CRI

Hakuna dhahabu safi kabisa, na hakuna mtu aliye sawia_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni msemo unaotukumbusha kuwa ni muhimu kujiendeleza kila upande, kujirekebisha ambao unashabihiana na ule msemo wa Kiswahili kwamba “hakuna mkalimifu, ila mwenyewe Muumba tu”.