Mazungumzo ya pili ya maingiliano na maelewano ya ustaarabu yafanyika nchini China
2022-01-11 08:37:49| CRI

Mazungumzo ya pili ya maingiliano na maelewano ya ustaarabu yafanyika nchini China_fororder___172.100.100.3_temp_9500032_1_9500032_1_6016_cb27725e-3d98-44c4-8ad0-c3c147568774

Mazungumzo ya pili ya maingiliano na maelewano ya ustaarabu yamefanyika jana hapa Beijing, na kukutanisha watu 260 kutoka ndani na nje ya nchi, ikiwa ni siku chache kabla ya kuanza kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi.

Michezo hiyo inafuatiliwa sana katika mazungumzo hayo, na washiriki wameeleza imani yao kuwa michezo hiyo itafanyika kwa mafanikio, na kusema Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing itahimiza maingiliano ya utamaduni na kukusanya nguvu za mshikamano.

Balozi wa Misri nchini China Mohamed El-badri amesema, China imefanya juhudi kubwa katika kuandaa michezo hiyo kutokana na janga la COVID-19, na anaamini China inaweza kufanya Michezo hiyo kwa mafanikio.