Msomi wa China: Kushikilia maendeleo ya kijani ni dhana muhimu ya ushirikiano kati ya China na Afrika
2022-01-13 10:45:30| CRI

Msomi wa China: Kushikilia maendeleo ya kijani ni dhana muhimu ya ushirikiano kati ya China na Afrika_fororder_1211520979_16415404773171n

Karibu katika kipindi hiki cha Daraja kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing. Ni kipindi ambacho kinakuletea masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano na uhusiano kati ya China na nchi za Afrika.

Kipindi cha leo kitakuwa na ripoti inayohusu msomi wa China anayesema kuwa kushikilia maendeleo ya kijani ni dhana muhimu ya ushirikiano kati ya China na Afrika, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi kuhusu ziara ya waziri wa mambo ya nje ya China barani Afrika iliyofanyika kuanzia tarehe 4 hadi 7 mwezi huu.