Msomi wa Tanzania: Njia ya China yatoa chaguo jipya lililo tofauti na “Mwafaka wa Washington”
2022-01-20 10:12:19| CRI

Msomi wa Tanzania: Njia ya China yatoa chaguo jipya lililo tofauti na “Mwafaka wa Washington”_fororder_UNIT74_Prof Moshi

Karibu tena msikilizaji katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Pamoja na habari mbalimbali kuhusu China na Afrika, kipindi cha leo pia kitakuwa na ripoti inayohusu msomi wa Tanzania Profesa Humphrey Moshi ambaye amesema, njia ya China yatoa chaguo jipya lililo tofauti na “Mwafaka wa Washington”, na pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.