Mwanzo mwema lazima ulete matunda mema
2022-01-24 14:13:54| CRI

Mwanzo mwema lazima ulete matunda mema_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni msemo unaosisitiza kuwa kitu chochote kilichoanza vizuri lazima kiendeleee na uzuri wake na sio baada ya muda kupungua uzuri wake. Waswahili wana sentesi moja “nguvu ya soda” ikimaanisha mwanzo mambo yanakuwa mazuri na baadaye yanakuwa mabaya.