Waziri wa Michezo wa Zimbabwe atarajia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing iwe ya ajabu
2022-01-27 14:11:18| CRI

Waziri wa Michezo wa Zimbabwe atarajia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing iwe ya ajabu_fororder_VCG111366651427

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari za wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti kuhusu Waziri wa Michezo wa Zimbabwe atarajia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing iwe ya ajabu, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.