Mratibu mkazi wa UM: Ushirikiano wa China na Afrika una nguvu kubwa ya kushabihiana
2022-01-27 14:06:51| CRI

Mratibu mkazi wa UM: Ushirikiano wa China na Afrika una nguvu kubwa ya kushabihiana_fororder_微信图片_20220127140542

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari za wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti kuhusu mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa kuzungumzia ushirikiano wa China na Afrika, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.