Russia yasisitiza haitakipendi vita
2022-01-31 17:25:24| cri

 

 

Katibu wa Baraza la usalama Usalama la Russia Bw. Nikolai Patrushev jana amesemaalisema, Russia haitakipendi vita, na pia haihitaji vita, na wale wa Magharibi waliofuatilia wanaofuatilia vita, ni wanalenga kufuatilia uroho uchu wao tu.

Katika siku kadhaa za karibuni, maofisa wa Russia walionesha kwa mara nyingi msimamo wa nchi hiyoRussia kuhusu kutopenda vita. Waziri wa mambo ya nje wa Russia Bw. Sergey Lavrov tarehe 28 alisema, Russia haipendi vita, lakini pia hairuhusu maslahi yake kukiukwa na kupuuzwa.

Naibu mwenyekiti wa Baraza la usalma Usalama la Russia Bw. Dmitry Anatolyevich Medvedev tarehe 27 alisema, ni lazimaRussia itafanya juhudi zote zifanyikekadiri iwezekanavyo ili kuepusha vita vyovyote, hasa mgogoro kati ya Russia na jumuiya ya NATO.