China yapinga kithabiti mawasiliano ya kiserikali kati ya Marekani na Taiwan
2022-01-31 17:27:23| CRI

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Zhao Lijian jana amesemaalisema, China inapinga kithabiti aina yoyote ya mawasiliano ya kiserikali kati ya Marekani na Taiwan, na imetoa malalamiko yake kwa Marekani kuhusu wabunge wa Marekani kukutana kushiriki mkutano na Lai Ching-te kwa njia ya video.

Amesema China imeihimiza Marekani kufuata kanuni ya kuwepo kwa China moja na nyaraka taarifa tatu za pamoja kati ya China na Marekani, kusimamisha mara moja vitendo vya makosa vya mawasiliano ya kiserikali kati ya Marekani na Taiwan, kutototoa ishara isiyo sahihi kwa nguvu ya ufarakanishaji ya kuinayotaka Taiwan ijitenge na China, ili kudhuru zaidi uhusiano kati ya China na Marekani na amani na utulivu wa mlango bahari wa Taiwan visiharibiwe zaidi.

Habari zinasema tarehe 28 Januari, spika wa baraza la chini la bunge la Marekani Nancy Pelosi amekutana alikutana kwa njia ya video na ofisa wa serikali ya Taiwan Lai Ching-te ambaye amesafiri kupitia Marekani kuelekea Honduras.