Mbio za kukimbiza mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing zaanza
2022-02-02 16:25:07| cri

Mbio za kukimbiza mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing zaanza_fororder_VCG111367442577

Mbio za kukimbiza Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Beijing zimeanza rasmi leo asubuhi saa tatu katika uwanja wa Bustani ya Kusini ya Hifadhi ya Misitu ya Olimpiki ya Beijing, na kwa siku ya leo mbio hizo zitaendelea hadi saa 1 jioni katika maeneo matatu.

Habari zinasema, wakimbiza mwenge 135 watamaliza mbio za umbali wa kilomita 10.6 kwenye bustani hiyo.