Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi kufunguliwa mjini Beijing kesho
2022-02-03 16:17:52| cri

Sherehe za ufunguzi wa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi zitafanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Taifa kesho jioni mjini Beijing. Rais Xi Jinping wa China atahudhuria halfa hiyo na kutangaza ufunguzi wa michezo hiyo.

Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) litatangaza halfa hiyo moja kwa moja