Maendoleo ya ushiriki wa wanawake katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi
2022-02-04 18:42:37| CRI

Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imeanza rasmi jana tarehe 4 Februari, na kushirikisha timu kutoka nchi mbalimbali duniani. Ushiriki wa wanawake katika michezo mbalimbali ikiwemo Michezo ya Olimpiki na Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi umezidi kuongezeka, katika kipindi hiki cha Ukumbi wa Wanawake tutazungumzia zaidi maendeleo ya ushiriki wa wanawake katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi.