Ni bora kuona kuliko kusikia, na ni bora kutenda kuliko kuona
2022-02-07 09:42:38| CRI

Ni bora kuona kuliko kusikia, na ni bora kutenda kuliko kuona_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni msemo unaosisitiza kwamba “matendo ni muhimu kuliko maneno” unalingana na msemo wa Kiswahili usemao “maneno yawe mafupi vitendo viwe virefu”.