Ushirikiano kati ya China na Afrika kusukuma mbele maendeleo ya kijani barani Afrika
2022-02-10 14:27:01| CRI

Ushirikiano kati ya China na Afrika kusukuma mbele maendeleo ya kijani barani Afrika_fororder_Adama Wind Farm

Hujambo msikilizaji na karibu tena katika kipindi hiki cha Daraja kinachokujia kila jumapili muda kama huu kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo, kando na habari mbalimbali kuhusu China na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti itakayozungumzia ushirikiano kati ya China na Afrika unavyosukuma mbele maendeleo ya kijani barani Afrika, lakini pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.