Saratani na wanawake
2022-02-11 11:09:30| CRI

Katika miaka ya hivi karibuni, wagonjwa wa saratani wameongezeka. Saratani ya Shingo ya kizazi na Saratani ya matiti ni ugonjwa unaowapata zaidi wanawake, katika kipindi cha leo cha Ukumbu wa Wanawake, tunaalika madaktari kadhaa wa saratani kuzungumzia tatizo hilo.