Sherehe ya kufungwa kwa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefanyika leo usiku kwenye Uwanja wa Michezo wa Taifa mjini Beijing, China.
Rais Xi Jinping wa China na mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Thomas Bach wamehudhuria kwenye sherehe hiyo.
(Picha: Xinhua)