Kundi la farasi litapambana kukimbiza neno lililosemwa
2022-02-22 17:09:14| CRI

Kundi la farasi litapambana kukimbiza neno lililosemwa_fororder_Hadithi za Jadi

Msemo huu una maana kwamba neno likishasemwa haliwezi kurejeshwa tena kinywani. Unashabihiana na msemo wa Kiswahili usemao “maji yakimwagika huwa hayazoleki”.