Riwaya ya Tumaini
2022-02-23 14:29:09| cri

Riwaya ya Tumaini iliyoandikwa na Clara Momanyi inahusu  msichana kwa jina Tumaini anayekaidi imani za kijamii ambazo zinamfaa tu mwanaume na kumdhalilisha mwanamke. 

Tendo lake linahitaji ujasiri mkubwa kwa kuwa anaelekea kuidadisi misingi ya jamii yake. Je ni nini hatma yake.?