Mtu anasoma kila kitu ili kupata ujuzi, na kuthibitisha kwa vitendo kuwa amesoma
2022-03-01 10:44:20|
CRI
Huu ni msemo ambao unamaanisha kwamba elimu inayopatikana lazima itumiwe kwa vitendo na sio kubaki kwenye makaratasi tu. Msemo huu unafanana wa Kiswahili kwamba “elimu ni ufunguo wa maisha”.