China yazisaidia nchi za eneo la Pembe ya Afrika kukabiliana na ukame
2022-03-03 14:34:23| cri

China yazisaidia nchi za eneo la Pembe ya Afrika kukabiliana na ukame_fororder_f31fbe096b63f6244807c8e2031537f11b4ca350

Kipindi cha Daraja kinachokujia kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) kinakufahamisha mambo mbalimbali kuhusu uhusiano, ushirikiano na mawasiliano kati ya China na Afrika. Katika kipindi cha leo, licha ya habari za wiki hii zilizohusisha China pamoja na nchi za Afrika, tutakuwa na ripoti kuhusu China kuzisaidia nchi za eneo la Pembe ya Afrika kukabiliana na ukame, pia tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi.