Michezo ya olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi ya Beijing 2022 yaonesha maendeleo ya haki za binadamu
2022-03-05 10:28:54| cri

Michezo ya olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi ya Beijing 2022 yaonesha maendeleo ya haki za binadamu_fororder_图像_2022-03-15_095252

Michezo ya olimpiki ya walemavu ya majira ya baridi ya Beijing 2022 imefunguliwa tarehe 4 Machi mjini Beijing.
Zaidi ya wanariadha elfu kumi, waandishi wa habari na maofisa kutoka duniani kote walifika Beijing kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki.
Ndani ya kipindi cha michezo hiyo yaani kuanzia tarehe 4 hadi 20 Februari, matukio ya maambukizi ya juu zaidi yalifikia 26 tu lakini yalidhibitiwa ndani ya siku 10 za kwanza na hakukuwa na maambukizi ya mtu hata mmoja hadi siku ya mwisho.
Maeneo yote yaliyofanyika michezo hii ya Beijing, Zhangjiakou na Yanqing yalikuwa chini ya mfumo uliotengwa mahsusi kwa ajili ya washiriki wa mashidano hayo.
Hoteli na kumbi za michezo ziliunganishwa na mabasi maalum na treni ili kutenganisha washiriki na umma kwa ujumla na kuzuia kuenea kwa virusi vya corona.
Watu wote walipimwa virusi kila siku na yeyote aliyeambukizwa anatengwa haraka ili kuzuia kuenea kwa virusi. Wanariadha na watu wote pia walitakiwa kuvaa barakoa aina ya N95.
Washiriki mbalimbali na wachezaji waliunga mkono kwa kiasi kikubwa sera hizo na hivyo kufanikisha lengo la pamoja la kuhakikisha China inaandaa mashidano salama zaidi kwa afya.
Kwa hakika, sera za kudhibiti virusi katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi zinaendana na mbinu ya China ya kuhakikisha hakuna maambukizi hata ya mtu mmoja.
Sera hiyo hulenga ugunduzi wa mapema, majibu ya haraka, udhibiti na matibabu madhubuti.
Tiketi hazikuuzwa kwa umma, lakini waandaaji wa Olimpiki ya Beijing 2022 walialika makundi mbalimbali ya mashabiki ambao walihitajika kutii hatua kali za kuzuia virusi
"Wekeni Ball Chini": Kutana na Salima Rhadia Mukansanga, Refarii wa Kwanza Mwanamke Kuchezesha Mechi ya AFCON
Michezo ya Olimpiki ya Beijing 2022, teknolojia imechangia katika kuzuia maambukizi ya virusi.
Katika jitihada za kupunguza mwingiliano wa watu, roboti zilitumiwa kupeleka chakula kwa usalama kwenye kantini katika Kituo Kikuu cha Vyombo vya Habari. Vyakula kama vile tambi na mikate ya nyama ilitengenezwa na roboti.
Serikali ya China iliweka mikakati ya kulinda washiriki wa olimpiki ya majira ya baridi
Na kwenye maeneo mengi ya michezo kulikuwa na roboti za kunyunyiza dawa ya kuua viini, ukaguzi wa joto mwilini na ufuatiliaji wa mazingira.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kamati ya Kimataifa ya Michezo ya Olimpiki (IOC),Christophe Dubi, alipongeza juhudi za China kuandaa Olimpiki isiyo na virusi.
"Kweli juhudi zote zimewekwa ili kuweka kila mtu salama. Kazi ambayo imefanywa ni ya kuridhisha kabisa," alisema Dubi.
Richard Lam, msimamizi wa picha wa ukumbi wa Kituo cha Kuteleza cha Yanqing, aliwasili Beijing mapema Desemba 2021 na alipata fursa ya kuzuru jiji hilo kabla ya kuingia kwenye kiputo cha Olimpiki.