Rais Xi Jinping wa China jana alitoa salamu za kila la heri kwa wanawake wote wa China kuadhimisha siku ya wanawake ya kimataifa tarehe 8 mwezi Machi.
Rais Xi alitoa salamu hizo aliposhiriki kwenye mjadala wa kikundi kimoja kwenye mkutano wa tano wa baraza la 13 la mashauriano ya kisiasa la China.