Mpe mtu waridi, na harufu itabaki mkononi mwako
2022-03-08 16:06:27| CRI

Mpe mtu waridi, na harufu itabaki mkononi mwako_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni msemo unaokumbusha watu kufuata vitendo vizuri vilivyofanywa na watangulizi wetu wa zamani, pia kuhakikisha unaacha athari nzuri mioyoni mwa watu. Ni msemo unaofanana sana na wa Kiswahili “Ukikaa karibu na muwaridi na wewe pia utanukia”.