Kizazi kimoja hupanda miti ambayo kizazi kingine hukaa kwenye kivuli chake
2022-03-14 16:09:26|
CRI
Huu ni msemo unaotukumbusha umuhimu wa kupanda miti kwa ajili ya kizazi kijacho. Miti ni uhai ambapo waswahili wanasema “Ikikumbatiwa ina faida nyingi".