Wasomi wa Afrika wapongeza mafanikio ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing
2022-03-17 14:03:23| CRI

Wasomi wa Afrika wapongeza mafanikio ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Bairidi ya Beijing_fororder_VCG111164870804

Natumaini kwa kiashiria hicho unajua kuwa ni kipindi cha Daraja ndio kiko hewani hivi sasa. Kipindi hiki kinakujia kila jumapili kupitia CMG Idhaa ya Kiswahili inayokutangazia kutoka hapa Beijing.

Katika kipindi cha leo tutakuwa na mahojiano kutoka CMG Idhaa ya Kiswahili Nairobi ambayo yatahusu Ubalozi wa China kutoa msaada wa vitabu kwa Maktaba ya Kenya, lakini pia tutakuwa na ripoti inayozungumzia mafanikio ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing.