Zaidi ya watu 3 wajeruhiwa kwenye mlipuko nchini Somalia
2022-03-18 08:10:30| CRI

Ofisa mmoja wa polisi wa Somalia ambaye hakutaja jina lake amesema, zaidi ya watu 3 wamejeruhiwa kwenye mlipuko uliotokea jana huko Mogadishu, ambao ulilenga gari lililobeba raia wa Uturuki.

Ofisa huyu amesema, zaidi ya watu 3 walijeruhiwa kwenye shambuli hilo dhdi ya wahandisi wa Uturuki.

Hadi sasa bado hakuna madai yote ya kuwajibika na shambulizi hilo.