Unaweza kutambua ujio wa majira ya mchipuo kwa jicho moja tu, kwani maua ya majira ya mchipuo yanachanua na kutoa rangi mbalimbali
2022-03-21 14:05:12|
CRI
Huu ni mtari wa shairi ulioandikwa na Zhu Xi, mwana falsafa wa Enzi ya Song, katika shairi liitwalo "Siku ya Mchipuo", likielezea mandhari ya majira ya mchipuo wakati maua yasiyohesabika yanapochanua.