Mti ukiwa na mizizi mikubwa, matunda yatakuwa mengi; taa ikijaa mafuta ya kutosha, nuru itang’aa
2022-03-29 15:10:35| CRI

Mti ukiwa na mizizi mikubwa, matunda yatakuwa mengi; taa ikijaa mafuta ya kutosha, nuru itang’aa_fororder_Hadithi za Jadi

Huu ni mtari wa shairi alioutumia rais Xi Jinping wakati alipotoa hotuba kuhusu ushirikiano wa China na Afrika, akielezea umuhimu wa juhudi. Unafanana na ule msemo wa Kiswahili usemao “juhudi huzaa matunda” na “mkono haulambwi”.