Roho za mashujaa wa zamani ziliangaza ulimwenguni na zinaendelea kuwa na ushawishi mkubwa hadi leo
2022-04-04 11:23:09|
CRI
Huu ni mstari wa shairi ulioandikwa na mshairi Liu Yuxi katika Enzi ya Tang. Mstari huu unamaanisha kuwa sifa za ushujaa haziwezi kuzuilika, na bado ni kuu baada ya maelfu ya vizazi kupita.